Utwory
Artyści
Gatunki
Okładka utworu 2025

Inne utwory od Marioo

  1. TETE
  2. MVUA
  3. DUNIA
  4. OLUWA
  5. HA HA HA
  6. Sober
Wszystkie utwory

Opis

Autor: Omary Ally Mwanga

Autor: Stans

Producent: Clik Master

Kompozytor: Omary Ally Mwanga

Kompozytor: Stans

Kompozytor: Frank Joseph Sanga

Tekst i tłumaczenie piosenki

Oryginał

Stanso.

Electric Monster.

Ai wewe, owe, eh.

Ah, baby ni bosti, kwani misimamo yako una muogopa nani?

Ai wewe, eh.

Baby ni juma, kwani misimamo yako una mufia nani?

Ai wewe.

Mi naona raha, kama tunaongera, na bila ta kuwagusa, bila ta kuwasema.

Mi naona raha, kama tunaoboa, bila ta kuwaomba, bila ta kuwakasi.

Ah, Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, ah.

Kaumba dunia ina vitu na vituko, oh.

Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, uu. Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Tunadunda mpaka elfu mbili na tano, elfu mbili na sita, elfu mbili na saba. Oh, elfu mbili na nane. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

Oh, elfu mbili thelathini.

Oh, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, oh.

Stanso.

Eh, baby namba ni fanya, baby namba ni fanya.

Fanya ni wewe kudaima mpaka mwisho.

Oh baby namba ni wewe, baby namba ni wewe.

Tania moyo wako daima, eh.

Wale wote wanaojifanya kweza, wakutabiru penzi, wakaotu wachinje, tunywe chuzi la kuongeza nguvu, ah.

Wale wote waombe ombea, watie chuu vipenzi, midomo tuwe fumbue, tupendane, waishiwe nguvu, ah, eh. Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu.

Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Tunadunda mpaka elfu mbili na tano, elfu mbili na sita, elfu mbili na saba.

Oh, elfu mbili na nane. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

Oh, elfu mbili thelathini.

Oh, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, oh. Eh,

Stanso.

Ah, eh.

Tłumaczenie na język polski

Stanso.

Elektryczny potwór.

Ai wewe, jestem winien, eh.

Ach, kochanie ni bosti, kwasi misimamo yako una muogopa nani?

Ai wewe, eh.

Baby ni juma, kwani misimamo yako una mufia nani?

Tak, tak.

Mi naona raha, kama tunaongera, na bila ta kuwagusa, bila ta kuwasema.

Mi naona raha, kama tunaoboa, bila ta kuwaomba, bila ta kuwakasi.

Ach, Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, ah.

Kaumba dunia ina vitu na vituko, och.

Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu, uu. Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Tunadunda mpaka elfu mbili na tano, elfu mbili na sita, elfu mbili na saba. Och, elfu mbili na nane. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

Och, elfu mbili thelathini.

Och, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, och.

Stanso.

Ech, kochanie namba ni fanya, kochanie namba ni fanya.

Fanya ni wewe kudaima mpaka mwisho.

Och, kochanie namba ni wewe, kochanie namba ni wewe.

Tania moyo wako daima, eh.

Wale wote wanaojifanya kweza, wakutabiru penzi, wakaotu wachinje, tunywe chuzi la kuongeza nguvu, ah.

Wale wote waombe ombea, watie chuu vipenzi, midomo tuwe fumbue, tupendane, waishiwe nguvu, ah, eh. Mungu kaumba dunia ina watu na vyetu.

Ila sisi tunavyopendana wataachana wao.

Tunadunda mpaka elfu mbili na tano, elfu mbili na sita, elfu mbili na saba.

Och, elfu mbili na nane. Tunadunda mpaka elfu mbili na tisa.

Och, elfu mbili thelathini.

Och, ila sisi tunavyopendana wataachana wao, och. Ech,

Stanso.

Ach, ach.

Obejrzyj teledysk Marioo, Stans - 2025

Statystyki utworu:

Odsłuchania Spotify

Pozycje na listach Spotify

Szczytowe pozycje

Wyświetlenia YouTube

Pozycje na listach Apple Music

Wyszukiwania w Shazam

Pozycje na listach Shazam